•   project@ansh.com
  •   +91-9990600100, +91-9654330035
  •   anshintertrade
Time at Ansh

SWAHILI

KUHUSU SISI

Ansh Intertrade ni kampuni inayomiliki cheti cha ISO 9001-2015 na makao makuu yetu yako New Delhi, India.
Ansh inafanya biashara kuhusu mfumo wa kidijitali, utafsiri, ujanibishaji, unukuzi na ufupishaji wa maelezo. Mambo haya yote tunayapata kutoka nje na kuyasambazia wauzaji-taaluma na watafsiri wanaojitegemeya kutoka kila kona ya dunia.
Sisi hutafiti nyanja za utaalamu, asili ya kuzaliwa ya wauzaji-taaluma au watafsiri ili kutoa uzalishaji unaohitajika.
Wateja wetu huthamini uaminifu wetu na wauzaji-taaluma /watafsiri kama sisi kwa sababu ya ufanisi wa malipo yetu.
Unaweza tarajia kazi ya kufana, bei bora na idadi kubwa ya jozi za lugha mbalimbali.
Ansh ina:
- Cheti cha - 'ISO 9001-2015'
- Usimamizi - biashara ya timu ya wanawake pekee.
- Uzoefu – ni wa kuvutia ikizingatiwa miaka 19 katika vyombo vya habari, miaka 8 katika Biashara za Kimataifa na miaka 10 katika biashara za utafsiri, mfumo wa kidijitali, Utaratibu wa kushulikia data
- Rasilimali – wauzaji-taaluma 3,000, kituo cha wataalam 12,000 wa utafsiri na 2,000 wa unukuzi.
- Lugha - Zaidi ya jozi 2400 za lugha zinatolewa (orodha kubwa ya bei duniani) kwa upande wa utafsiri.
- Ufanisi - Programu maalumu kwa jina la 'WASP' katika ofisi zetu ili kuweza kushughulikia huduma kwa ufanisi.
- Ukweli wa Uwepo - Tunawakilisha makampuni katika Urusi, Singapore na Umoja wa Falme za Kiarabu kama wakala wa usambazaji wao pekee duniani kote.
Haya yote yamechumia imani Ansh kibiashara kutoka kwa makampuni zaidi ya 200 ya utafsiri / uchapishaji pamoja na makampuni 800 yanayotutumia kama nguzo ya kuaminika.

SWAHILI

Language

Swahili

Language name written as

Kiswahili

Country of Origin

Tanzania

Country Flag

Script

Latin script (Roman Swahili alphabet), Arabic script (Arabic Swahili alphabet) Swahili Braille

International language Code

sw

Font Look

Cheti – Ina ‘ISO 9001-2008’ na Kampuni ya ‘Ansh Laureate’.

Usimamizi – Biashara ya wanawake wote.

Uzoefu – Ya kuvutia miaka 19 katika Vyombo vya Habari, miaka 8 katika Biashara ya Kimataifa na miaka 10 katika biashara tafsiri.

Rasilimali – Kitafsiri cha Msingi 12000 na wataalam unukuzi 2000.

Native speakers

15 million (2012) to 25 million (2007) 150 million speakers in total

Wikipedia Link

https://en.wikipedia.org/wiki/Swahili_language